Muigizaji wa Squid Game ashtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono

Muigizaji wa Squid Game ashtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono

Muigizaji wa Squid Game, O Yeong-su ameshtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono baada ya kumshika mwanamke, mahakama nchini Korea Kusini wanasema.

Mzee huyo mwenye umri wa miaka 78 anatuhumiwa kumgusa mwanamke isivyofaa mnamo 2017, maafisa walisema amekanusha madai hayo, vyombo vya habari vimeripoti.

Alikuwa muigizaji wa kwanza wa Korea Kusini kushinda tuzo ya Golden Globe ya muigizaji msaidizi bora katika mfululizo baada ya kuigiza katika tamthilia ya kusisimua Squid Game kwenye Netflix mapema mwaka huu.

Mshukiwa huyo aliwasilisha malalamishi kwa polisi kwa mara ya kwanza dhidi ya Bwana O mnamo Desemba mwaka jana, kulingana na shirika la habari la Yonhap.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post