Muandaaji maudhui youtube auawa, mwili wakutwa kwa ex wake

Muandaaji maudhui youtube auawa, mwili wakutwa kwa ex wake

Muandaaji wa content kupitia mtandao wa YouTube aitwaye Paulo Cezar Goulart Siqueira (PC) kutoka nchini Brazil anadaiwa kuuawa kisha mwili wake kukutwa kwa mpenzi wake wa zamani aliyejulikana kwa jina la Maria Watanabe, siku ya Jumatano, Disemba 27. .

Kufuatiwa na uchunguzi wa awali umeripoti kuwa Paulo huenda amekatisha uhai wake kutokana na kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto iliyokuwa ikimkabili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags