Mtangazaji afichua kusumbuliwa na cancer akiwa live

Mtangazaji afichua kusumbuliwa na cancer akiwa live

Mtangazaji wa CNN aitwaye #SaraSidner ameweka wazi kuwa anasumbuliwa na saratani ya matiti wakati akiwa live kwenye kipindi cha asubuhi.

#Sara amefichua ugonjwa huo kwa lengo la kuwataka wanawake wengine kufanya vipimo vya afya zao kila mwaka huku akieleza kuwa yupo katika matibabu mwezi wa pili sasa, na  ugonjwa wake ukiwa hatua ya tatu.

Tukio hilo limetokea siku ya jana Jumatatu, wakati alipokuwa akiripoti moja kwa moja katika kipindi cha asubuhi cha ‘CNN News Central’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags