Mr P aukubali wimbo wa Marioo

Mr P aukubali wimbo wa Marioo

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Peter Koye maarufu kama #MrP ambaye ni mmoja katika kundi la #PSquare ameonesha kuvutiwa na wimbo mpya wa #Marioo ‘Hakuna Matata’.

Msanii huyo alim-Dm Marioo na kumuita ‘Bad’ baada ya kuona wimbo huo katika #Instastory yake.

Wimbo huo ambao una masaa 16 umeingia trending nafasi ya nane ukiwa na watazamaji 58,092 mjini #YouTube mpaka sasa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags