MOVIES REVIEW: SERIES YA HOT SKULL 2022 NI KIBOKOO

MOVIES REVIEW: SERIES YA HOT SKULL 2022 NI KIBOKOO

HOT SKULL is a new Netflix sci-fi series based on the novel by Afşin Kum. This Turkish series (org. title: Sicak Kafa) has a very high production quality. Of course, this should come as no surprise if you’ve checked out other Netflix productions from Turkey.

The story is very universal since it revolves around an epidemic. We’re in a very dystopian version of Istanbul shaken by an epidemic of madness. One that spreads through language and speech – also called “jabbering”. You’ll understand as soon as you witness the first infected person.

Haya wale Waturuki wenzangu mpooo? Concept ya humu inanikumbusha wakati SEE inaachiwa, stori yake ilikua so interesting aisee!

Kwa hii mini-series ni kwamba kuna ugonjwa umezuka na unasambaa kupitia maongezi, yaani ni full kupiga kimya au usisikie kabisa! Namna pekee ya kujikinga mara nyingi ilikua ni kutembea na headphones sababu ukiupata unakuwa chizi hivi, alafu hauna tiba.

Lakini kuna huyu jamaa anaitwa Murat yeye inaonekana huo ugonjwa haumpi shida kwa maana pengine yeye hauwezi kumpata kabisa hata aongee na nani.

Nini sababu? Chanzo cha ugonjwa? Tiba? Namna watu wanaishi na mambo mengine meeeengi utapata majibu ndani ya episodes 08 tu hili ni dude la kituruki ukimaliza kumtazama Ottoman unaweza kugeuka na huku sio pouwaa yaani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post