MOVIES REVIEW: MASTERS OF SEX

MOVIES REVIEW: MASTERS OF SEX

"Masters of Sex," stars Michael Sheen and Lizzy Caplan as the real-life pioneers of the science of human sexuality, William Masters and Virginia Johnson.

 

The series chronicles the lives of couple started the sexual revolution with Oscar nominee John Madden executive producing (and directing the pilot, which also features Beau Bridges and Margo Martindale).

Nyie nyie nyie, huu mzigo ni wa kitambo kidogo lakini, una balaa sio pouwa. Juzi kuna mwanangu nimekuta anaucheck nikasema aaaah! Hapana lazima watu wangu nao wakaburudike bwana. 

So dokta kaamua kufanya utafiti kwambaaa ni kweli mwanamke anafikia kilele yaani kitaalamu orgasm? Akapata jibu kwamba yeah, wanawake hufikia orgasm.

Swali lingine likawa, wanapofikia orgasm inakuaje yaani ni aina gani ya feelings ambayo wanaipata... Kwa wanaume simple, wazungu wakitoka tayari hiyoo.

Ila kwa wanawake ni utata kidogo! So dokta akaamua ku chunguza kisayansi zaidi. Alafu hii ni stori ya ukweli kuhusu huyo Dokta na namna alivyofanya mapinduzi makubwa kuhusu uelewa wa orgasm kwa wanawake!

Masters of Sex iko na Seasons 04 tu, kama umeshaitizama embu tuambie ni kipande gani umekikubali zaidi.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags