Mmea unaofanana na midomo ya binadamu

Mmea unaofanana na midomo ya binadamu

Kama hujawahi kufikiria kuwa kuna mmea wenye muonekano wa midomo ya binadamu, fahamu kuwa mmea huo upo na unafahamika kwa jina la Hooker na kisayansi unaitwa Psychotria elata.

Mmea huu hutoa maua manene yenye rangi nyekundu ya kung'aa yaliyochanua ambayo watu wengi huyafananisha na midomo wa binadamu. Mmea huu unapatikana kwenye misitu Amerika ya Kati na Amerika Kusini katika nchi kama vile Mexico, Costa Rica, Ecuador, Panama, na Colombia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags