Mipango ya wilaya ya Chato kuwa mkoa bado sana

Mipango ya wilaya ya Chato kuwa mkoa bado sana

Hatua hiyo imetokana na Mikoa ya jirani, Kigoma, Kagera na Mwanza kukataa kuachia maeneo yake ili kuunda Mkoa wa Chato, wazo ambalo liliibuka katika Utawala wa Hayati John Magufuli

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Geita , Martine Shigela amesema

 “Mngeniambia Mkoa ni mkubwa tuugawe ingeeleweka lakini haugawiki. Wakati mwingine unaweza kuwapa matumaini Watu ambayo hayapo, sitaki kuwa muongo, nitakuwa Mkuu wa Mkoa wa ajabu sana."

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags