Mike Tyson, Siku yangu ya kufa inakaribia

Mike Tyson, Siku yangu ya kufa inakaribia

Aloooooh! Inasikitisha kwakweli mtu kujinenea maneno ambayo si mazuri basi bwana yule Bondia na mpiga ngumi wenye uzito wa juu zaidi Dunian  Michael Gerard maarufu kama Mike Tyson amefunguka na kusema kuwa siku yake ya kufa iko karibu sana, Licha ya mazungumzo hayo pia alieleza kuwa mnamo mwaka 2021 alitaka kujiua kwa kunywa sumu ya chura wa Jangwa la Sonoran.

Aidha Tyson ameyasema hayo akiwa katika mahojiano na podcast yake ya Hotbixin akiwa na mtaalamu wa tiba ya afya ya akili pamoja na uraibu wa madawa Sean Farland alifunguka nakusema “sisi sote tutakufa siku moja bila shaka  kila ninapo jitazama kwenye kioo naona madoa madoa usoni mwangu, hiyo inamaana siku yangu ya  mwisho wa kuishi inakaribia , iko karibu sana” amesema Mike Tyson

Haya sasa mashabiki wa mwamba Tyson mnalipi la kumshauri, dondosha komenti tako hapo chini.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags