Meta yatishia kuondoa maudhui ya habari za marekani kwenye facebook

Meta yatishia kuondoa maudhui ya habari za marekani kwenye facebook

Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa Vyombo vya Habari nguvu ya kudai ada ya matangazo inayopatikana katika Maudhui yanayowekwa  Facebook

Sheria kama hiyo ilipitishwa na Mamlaka ya Australia ikasababisha Facebook kusitisha habari za Nchi hiyo kwa muda Mwaka 2021

Hata hivyo Meta inaeleza Vyombo vya Habari vinaweka maudhui kwa kuwa vinafaidika vyenyewe lakini upande wa pili wao wanadai Meta huzalisha kiasi kikubwa cha pesa kupitia matangazo yanayoingizwa katika Maudhui yanayoweka.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags