Messi mchezaji bora wa FIFA 2023

Messi mchezaji bora wa FIFA 2023

Baada ya kuwa mchezaji aliyetafuta zaidi kupitia mitandao ya kijamii katika nchi mbalimbali kwa mwaka 2023 na sasa mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina na ‘klabu’ ya Inter Miami #LionelMessi siku ya jana Januari 15, ameshinda Tuzo ya mchezaji bora wa FIFA 2023 kwa Wanaume.

Kupitia kinyang’anyiro hicho Messi alimbwaga staa kutoka ‘klabu’ ya #ManchesterCity #ErlingHaaland ambaye alishika nafasi ya pili katika Tuzo hizo zinazoandaliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

Aidha washindi wengine katika Tuzo hizo wakiwa ni #PepGuardiola akichukua Tuzo ya kocha bora huku #Ederson akiondoka na Tuzo ya Kipa bora.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags