Messi hashikiki Inter Miami

Messi hashikiki Inter Miami

Wakati #Bongo tukisubiri ‘ligi’ ianze ili tujue nani ataondoka na kiatu cha ufungaji bora, kwa upande wa Lionel Messi anaendelea kuongeza idadi ya 'magoli’ tangu ajiunge na  ‘timu’ ya Inter Miami.

Messi hashikiki ameendelea kutikisa nyavu kwa kufunga ma-‘goli’ mawili usiku wa kuamkia leo kwenye mchezo uliochezwa kati ya Inter Miami na Orlando City.

Kutokana mikwaju hiyo aliyoendelea kuitandika hadi sasa ameifanya akaunti yake kuwa na mabao matano kwenye ‘mechi’ tatu tangu ajiunge na team hiyo kutoka Marekani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags