Mechi yaahirishwa baada ya shabiki kufia uwanjan

Mechi yaahirishwa baada ya shabiki kufia uwanjan

‘Mechi’ kati ya Granada na Athletic Club imeahirishwa baada ya shabiki mmoja kufariki uwanjani wakati mchezo huo ukiendelea katika uwanja wa Nuevo Los Carmenes siku ya jana Jumapili Disemba 10.

Mchezo uliahirishwa dakika ya 17 ambapo wageni wa mchezo Athletic Club wakiwa mbele kwa bao 1-0, shabiki huyo alitangazwa amefariki baada ya kupatiwa matibabu ya dharula na muda mfupi baadaye Laliga walitangaza kuahirishwa kwa ‘mechi’ kufuatiwa na kifo cha shabiki huyo. Huku tarehe mpya ya mchezo huo itapangwa upya na LaLiga.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags