Mbappe Anunua Mchoro Wa Pele Kwa Zaidi Ya Sh 1 Bilioni

Mbappe Anunua Mchoro Wa Pele Kwa Zaidi Ya Sh 1 Bilioni

Mchezaji kutoka ‘klabu’ ya PSG, Kylian Mbappé ameripotiwa kutumia Dola 566,514 ikiwa ni zaidi ya Sh 1.4 bilioni kununulia mchoro wa marehemu nyota wa soka wa Brazil Pele.

Mbappe alinunua mchoro huo katika tamasha lililopanga kuchangisha fedha kwa ajili ya kutoa hisani ambapo mchezaji huyo alimshinda rafiki yake Achraf Hakimi kwa kutaja dau kubwa zaidi.

Ikumbukwe kuwa mchoro huo uliundwa na msanii wa kisasa wa Ufaransa aitwaye Alexandre Hopare.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags