Mbalula: Hali ya uchumi ni mbaya, Afrika Kusini

Mbalula: Hali ya uchumi ni mbaya, Afrika Kusini

Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Afrika Kusini kiitwacho African National Congress (ANC), Fikile Mbalula ametaja sababu kubwa ya nchi hiyo uchumi kuwa mbaya ni kukatika kwa umeme kunakotishia ukuaji wa uchumi.

Mbalula amsema “Kama baadhi ya masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa nchi iliyoshindwa kutokana na uchumi kuyumba kwa sababu mbalimbali na nyingine zimechangiwa na udhaifu wetu wa kushindwa kusimamia vizuri hali ya uchumi” amesema    Fikile

Aidha kwa mujibu wa Taasisi ya Volunteer International, Afrika Kusini inakabiliwa na ongezeko kubwa la vijana wasio na ajira wanaofikia 63.4% huku wengi wao wakiishi chini ya mstari wa umasikini


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post