Mayele kuishuhudia siku ya wananchi

Mayele kuishuhudia siku ya wananchi

Mfungaji bora msimu uliopita katika ligi kuu Tanzania Fiston Mayele, ambae tetesi zinaeleza kuwa mchezaji huyo anasubiria tu ‘Thank you’ kutoka katika ‘klabu’ ya Yanga, ameweka wazi kuwepo kwenye kilele cha wananchi siku ya kesho Julai, 22.

Mzee wa kutetema kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika “Tukutane kwa mkapa” amkimaanisha kuwa kesho atakuwepo
Huku masaa machache yaliyopita amepost picha akiwa na Rais wa ‘klabu’ ya yanga, picha ambayo imeacha maswali mengi kwa mashabiki, akiweka na ujumbe “ijumaa Mubarq”

Oyaaaaah! Mashabiki wa yanga hii imeenda..






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags