Marioo kuachia Ep na Album kwa pamoja

Marioo kuachia Ep na Album kwa pamoja

Aiseee!! Hii ni baada ya kufanya mambo makubwa kwenye Muziki wa Bongo  Fleva kwa mwaka huu 2021 ambapo umebakiza wiki kadhaaa kuuaga  habari njema ni kwamba Huenda ukakutana na Album Pamoja EP kutoka kwa Msanii Marioo siku za hivi karibu

Marioo ameshare taarifa hizo kwenye Insta Story yake ambapo amepost na kuandika hivi........"Nimerekodi ngoma nyingi sana halafu zote kali yani mpaka nadata, halafu hizi ngoma zitaoza humu ndani na Bado natamani kurekodi ngoma Mpya, aisee EP &ALBUM Is Coming"

Ebwna eeh!! Mwisho wa mwaka na Ep na Album kutoka kwa Marioo kama mdau wa msanii hivi vipi kipi unataka kianze? Dondosha comment yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags