Mandonga mtu kazi: mke wangu huwa ananiogesha

Mandonga mtu kazi: mke wangu huwa ananiogesha

Hahahahahha! Make hapa kwanza ncheke, ety mwenzetu nawewe unaogeshwa na mkeo au tukuache kidogo, basi bwana yule bondia ambae amepata umaarufu hivi karibuni anaefahamika kwa jina la Karim Mandonga au mtu kazi ameweka wazi kuwa wakiwa nyumbani na mkewe hajawahi kuoga mwenyewe baby mama wake anamuogesha

Mandonga kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari alifunguka na kueleza kuwa “
“Nikiwa nyumbani siwezi kwenda kuoga peke yangu ... Mke wangu huwa ananiogesha ananieka katika kistuli kabisa yaani sio powa mke wangu ananipenda sana” amesema Karim Mandonga

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags