Man City na Arsenal waachwa kwenye mataa

Man City na Arsenal waachwa kwenye mataa

‘Ligi’ kuu #Uingereza haitakuwa na ‘timu’ kwenye hatua ya nusu fainali za ‘ligi’ ya mabingwa #Ulaya baada ya ‘klabu’ kubwa mbili, #Arsenal na #ManchesterCity kuondolewa kwenye hatua ya robo fainali usiku wa kuamkia leo.

Arsenal wameondolewa nyumbani kwenye uwanja wa #Emirates kwa kufungwa 1-0 dhidi ya #BayernMunich huku Man City wakiondolewa nyumbani kwenye uwanja wa #Etihad kwa mikwaju ya ‘penati’ 4-3 baada ya sare ya mabao 3-3.

Fainali za michuano hiyo zinatarajiwa kuchezwa Julai 14 mwaka huu katika uwanja wa #Wembley, London Uingereza.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags