Lil Uzi Vert: Kanye west mchungaji feki

Lil Uzi Vert: Kanye west mchungaji feki

Aiseee unaambiwa kutoka ukurasa wa Twitter wa Rapa Liluzivert ameibuka na kudai kuwa Kanye West ni Mchungaji Feki akiwa ame-tweet Ujumbe huo.

“Kanye A Fake Pastor”@ liluzivert hivyo ndivyo alivyotweet bhnaa.

Lil Uzi Vert ali- tweet Ujumbe huo lakini baada ya muda kidogo alifuta Tweet hiyo baada ya kushambuliwa vikali na  Mashabiki.

Hata hivyo kwa wale wote waliojaribu kuifikia Tweet hiyo hawakufanikiwa kuikuta, ikiwa tayari imeshafutwa na Nyota huyo.

Mambo hayo niambie wewe unadhani jamaa atakua feki kwelii au tupia comment yako kwenye instagram account ya @Mwananchi Scoop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags