Leo Sikukuu, Saudia

Leo Sikukuu, Saudia

Ooooooooh! Nyie nyie kombe la dunia mwaka huu limeleta balaa, hakika kuna timu zimejipanga safari hii sio pouwa, basi bwana. Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametangaza leo Jumatano November 23 kuwa siku ya mapumziko na likizo.

kwa Wafanyakazi wote katika Serikali, sekta binafsi na Wanafunzi wote ili kusherehekea ushindi Saudi Arabia ilioupata jana kwa kuifunga Argentina 2-1, mitandao ya Saudi Arabia imeripoti. 

Aloooooh! Sio powa mfuatiliaji wa kombe la dunia je kwa upande wako nini ungependa kifanyike mwanangu sana dondosha komenti yako hapo chini.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags