Kenya yapiga marufuku mabweni kwa wanafunzi wa shule za msingi

Kenya yapiga marufuku mabweni kwa wanafunzi wa shule za msingi

Serikali nchini Kenya imepiga marufuku kwa wanafunzi wa ngazi ya chini kwa elimu ya sekondari na itaanza kutumika kuanzia januari 2023

Madarasa yanayohusika na marufuku hiyo ni kuanzia la kwanza hadi la tisa huku lengo likiwa kuwafanya wanafunzi kuwa karibu na wazazi na walezi wao pamoja na kupunguza gharama za elimu

Taarifa hiyo imetajwa kuwapa mshtuko mkubwa wazazi na walezi lakini walimu wakuu wengi wamepongeza kwa kuwa itawapa wazazi majukumu ya kuwaangalia watoto wao kwa ukaribu Zaidi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags