Kenya wanaume wana wastani wa wapenzi 7 katika maisha yao

Kenya wanaume wana wastani wa wapenzi 7 katika maisha yao

Ripoti mpya ya Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu Kenya (KNBS) imebaini kuwa Wanaume Wakenya wana wastani wa wapenzi (7) katika maisha yao huku wanawake wakiwa na wastani wa wapenzi (2) katika maisha yao.


Katika ripoti hiyo ya Idadi ya Watu na Afya nchini Kenya (KDHS) 2022,  iligundua kuwa kati ya wanawake wa Kenya wakati huo huo, wastani wa wapenzi wanaoshirikiana nao kwenye ngono ni 2 mpaka 3.

Katika ripoti hiyo inaonesha asilimia 35 ya wanaume waliripoti kufanya ngono katika muda wa miezi 12 iliyopita na mtu ambaye hakuwa mke wake wala kuishi naye ikilinganishwa na asilimia 19 ya wanawake.

Chanzo bbc


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post