Kauli ya Wakazi yamtoa Coy mzungu mafichoni

Kauli ya Wakazi yamtoa Coy mzungu mafichoni

Mchekeshaji Coy Mzungu ameonesha kukerwa na kauli ya mwanamuziki wa Hip-hop Wakazi iliyodai kuwa wachekeshaji wa Bongo hawajui kuchekesha.

Kutokana na kauli hiyo Coy amejibu kwa kusema kuwa muziki ni mgumu sana, hivyo yupo tayari kumpatia Wakazi jukwaa aende kushekesha yeye.

 Kupitia Instagram yake Coy ameandika, "ila muziki mgumu sanaa! Kaka Wakazi stage ipo njoo nikupe nafasi utaua sanaa naona unachekesha sanaaa! Sijacheka hivi tangu mwaka uanze.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags