Kanye West hana mpango wa kugombea urais 2024

Kanye West hana mpango wa kugombea urais 2024

‘Rapa’ na mwanamitindo kutoka nchini Marekani #KanyeWest hato gombea tena urais nchini humo mwaka 2024.

Kwa mujibu wa mweka hazina wa ‘kampeni’ ameeleza kuwa kiasi kilichopo ambacho ni zaidi ya million 60 za Kitanzania hakitoshi kufanyia ‘kampeni’.

Hata hivyo Mwanasheria wa Kanye ameliambia jarida la Rolling Stone kuwa ‘rapa’ huyo ameonekana kutoa vifaa vyote vilivyoandaliwa kwaajili ya kampeni.

Na hii sio mara ya kwanza kwa Kanye kugombea urais nchini humo, mwaka 2020 aligombea na kuibuka na kura 60,000 kati ya kura millioni 239.9 zilizopigwa katika majimbo 12.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags