Kanye ashitakiwa kwa kumshambulia shabiki

Kanye ashitakiwa kwa kumshambulia shabiki

Mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kanye West amemfunguliwa mashitaka na shabiki aitwaye Justin Poplawski (40) na kudai kuwa alishambuliwa na msanii huyo mwaka 2022 katika mitaa ya Los Angeles, California.

Kwa mujibu wa #Dailamail imeeleza kuwa #Poplawski alishambuliwa na #Kanye baada ya kumfuata kwa lengo la kutaka saini ya msanii huyo ‘autograph’ ndipo akapokea kipigo licha ya kumuomba msamaha lakini Kanye aliendelea kumpiga.

Aidha Justin Poplawski amemfungulia mashitaka Kanye kwa lengo la kudai fidia kufuatiwa na majeraha, msongo wa mawazo alioupata baada ya kushambuliwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags