Kakolanya apewa mkono wa kwaheri Simba

Kakolanya apewa mkono wa kwaheri Simba

Klabu ya Simba tayari imeachana na watu 8 kwenye benchi la ufundi na wachezaji na leo mtu wa 9 kuachana nae kikosini hapo ni golikipa namba mbili, Beno Kakolanya.

Kakolanya amekuwa akihusishwa kutua Singida Fountain Gate inayojiandaa kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao.

Oooooh! Una lipi la kueleza kwa hizi Thank you zinazo endelea katika virabu mbali mbali, dondosha komenti yako hapo chini mwanangu sana tujue mtazamo wako.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags