Kajala: Niko tayari kuwa mama tena

Kajala: Niko tayari kuwa mama tena

Oooooooooh! Niaje niaje wanangu sana, naona kama week inataka kuanza na moto hivi. Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Kajala Frida ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo tayari kuongeza mtoto wa pili.

Kupitia Instastory yake Kajala ameandika kuwa, "Nafikiri sasa ni muda sahihi wa kupata mdogo wako Dada Paula Kajala. Hakuna kutumia P2 tena, niko tayari kuwa mama tena."

Kajala ana mtoto mmoja ambaje ni Paula aliyezaa na mtayarishaji wa muziki P-Funk Majani. Mmmmmh! Je unadhani mtoto huyo atakae kuja baba yake atakuwa nani kwa mtazamo wako mwanangu sana? Embu dondosha komenti yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags