JK: kusimamia wachunguzi uchaguzi mkuu Kenya

JK: kusimamia wachunguzi uchaguzi mkuu Kenya

Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete ameteuliwa kuongoza Ujumbe wa Wachunguzi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ujumbe huo wa Maafisa 52 utakuwa ukiangazia kiwango cha matayarisho na mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya unaotarajiwa kufanyika August 09,2022 na baadaye Maafisa hao watatoa ripoti August 11,2022.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags