Jela miaka 70  kwa kosa la kumtemea mate polisi

Jela miaka 70 kwa kosa la kumtemea mate polisi

Mwanaume mmoja kutoka Texas aliefahamika kwa jina la Larry Pearson mwenye umri wa miaka 36 amehukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kwa kosa la unyanyasaji la mwaka 2022.

Mtuhumiwa huyo ameshtakiwa kwa kumnyanyasa mtumishi wa umma baada ya kumtemea mate maafisa wa polisi wakati wa kukamatwa.

Maafisa waliripoti kwenye eneo la tukio la unyanyasaji wa nyumbani mwaka 2022, Pearson alishtakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia kwa kumpiga mwanamke mara kadhaa na kumuumiza vibaya .






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags