Hivi unajua tabia yako ipo kwenye kundi lako la damu (mwisho)

Hivi unajua tabia yako ipo kwenye kundi lako la damu (mwisho)

Hello!! Mambo niaje my people, I hope mko poa kama kawaida hatunaga shaka inapofikia swala la kukupa nondoo za Afya ikiwa tuna siku moja tu kuikaribisha  sikukuu ya eid huku kwetu mambo ni motro tunaendelea kukufahamisha juu ya usicho kijua na hiyo ndio kazi yetu.

Ooooh! onther weekend kama ilivyo ada tunaendelea na topic yetu ya tabia yako ipo kwenye kundi lako la damu ikiwa leo nisehemu ya tatu na ya mwisho katika hili mwanetu tuliishia na watu wa kundi AB, hapa tuka na watu wa kundi O

Kundi la damu aina O yaani ‘choleric’ hawa watu wa kundi hili mara nyingi wana jitahidi kuwa mahodari na mashujaa katik mambo tofauti na  mara zote kiu yao kuwafuraishaa na kuwapendeza watu kwa namna yoyote ile .

Pia ni wenye moyo wa uongozi wenye kiu ya kuona rafiki zao wakiwa wenye furaha wakati wote sio wa gumu wa mabadiliko wako tayari kubadilika kutoka na mazingira ni wenye mawazo mapana mno na ya wazi sio wa gumu kifikra na ni marafiki.

Faida za watu wa kundi O la damu

Ni wenye ujasiri sana ni washindani katika mambo mengi mfano mambo ya maendeleo, hufanya kazi sana na kwa bidii , ni waaminifu,wanaweza kujieleza na ni marafiki wazuri, ni watu wa kusamehe kwa urahisi na haraka.

Siku zote mitazamo yao huwa chanja katika jamii huweza kuhisi au kuona mambo hata kabla hajatokea wanapenda kudadisi na ni watoaji.

Mapungufu yao  kundi O

Mara nyingi wanaweza kuwa wenye fujo wanapenda sifa, wanavutia vitu upande wao, wanaepuka au kukwepa majukumu yao, unaweza kuona maisha yao kama maigizo wakitaka wametaka hadi wapate na ni rahisi kuwaondoa kwenye kila wanacho fanya kwawakati huo that means this guy’s it’s easy to be distracted.

Pia ni watu ambao jeuri ime watawala katika maisha yao  ni watu wenye kujiamini sana mpaka wanapitiliza, watu ambao niwababe wagumu wenye ubinafsi na wafanya maamuzi yao pale wanapo amua na sio kulazimishwa na mtu au taasisi.

Maisha yao katika jamii.

Ni marafiki wazuri na unaweza kuwa tegemea ni waaminifu ni wa wazi kwenye majambo yao ingawa mara nyengine wanaweza kukuuzi pia wakati mwengine wanatamani kusikilizwa wao tu.

Kazini watu wa kundi O

Wanakiu ya mafanikio inawapelekea kupata nguvu ya kufanya kazi kwa bidii ingawa hukatishwa tamaa na kupoteza hamasa ya kufanyakazi, wakati mwengine ili wafikie lengo ni vyema waka simamiwa kwenye kazi wanayo fanya  badala ya kuachwa wafanye wenyewe.

Mahusiano ya kimapenzi kundi hili ni watu wanao wezakuonyesha mapenzi kwa watu wanao wapenda  ila nivyema ukajua watu hawa hutarajia upendo wa watu wanao wapenda wao wanavyo onyesha upendo kwako bila hivyo utakosana nao.

Ukweli kuhusu utafiti wa kundi O

-wanaaminika kuwa natabia za kijeshi yaani kuamrisha

-wengi wao kwa asili ni watu wakupenda michezo

-wanaaminika kuwa watu wema na walio tayari kusaidia mtu yeyote hata katika uchangiaji wa damu

-wanapenda kujiskia raha wanapo kula nyama

-ni watu wenye roho nzuri sana ila hawa pengi uongo hivyo usije ukaja ukathubu kumongopea.

 

Mambo ambayo hayatakiwi kifanywa na watu wa kundi O la damu

  • Hawatakiwi kula ngano na mahindi mara kwa mara
  • Hawapaswi kabisa kula machungwa ,passion,ukwaju,maembe mabichi na vyote vitu vya acid.
  • kwa wanaume wanatakiwa kula matunda sana kama papai,mananasi,ndizi ,na matikiti maji.

Aidha kuna vyakula ambavyo vinashauriwa sana kwa watu wa kundi O  matunda lakini kwa kiasi, mboga za majani na  protini kwa wingi yaani nyama, maharage, mayai na maziwa

Magonjwa mengi yanaweza kusababisha nakutokuzingatia aina ya kundi la damu na vyakula unavyotakiwa kula na usivyo takiwa kula.

Vitu vyote vilivyorozeshwa hapo juu sio kama hutakiwi kula bali hutakiwi kuzidisha katika ulaji wako mfano chungwa moja, mawili yanatosha hutakiwi kuongeza kipimo Zaidi ya hapo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags