Harmonize aomba nguvu ya ziada kuitembeza Single Again remix

Harmonize aomba nguvu ya ziada kuitembeza Single Again remix

Ni kama moto umewaka kwa baadhi ya wasanii wa #Bongo kufanya ‘kolabo’  na ma-star kutoka  nchi mbalimbali, mwanamuziki Harmonize naye hajakaa kinyonge baada ya kufanya single again remix na Ruger anaendelea kusisitiza kuwa wimbo huo utakuwa bora kushinda nyimbo zote.

Hata hivyo Harmonize ametuma ujumbe wa kutoa wito kwa watanzania na Media zote kuonesha ushirikiano kuipeleka mbele zaidi wimbo huo, huku akidai kuwa Ruger hajawahi kuimba na msanii yeyote yule Afrika na nje ya Afrika hivyo yeye ndiyo wa kwanza.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags