Hapa ndio anapolala Elon Musk

Hapa ndio anapolala Elon Musk

Eeeeeh! Mwenzangu wewe unalala kwenye godoro la aina gani, au basi acha tuu, basi bwana unaambiwa mmiliki wa mtandao wa Twitter Elon Musk ambae ni tajiri mkubwa duniani akiwa anamiliki zaidia ya Trillion 460 kumekuwa na taarifa kuwa hamiliki nyumba hata moja.

Kupitia ukurasa wa Twitter shabiki mmoja wa mfanyabiashara huyo na kuandika kuwa hii ndio sehemu anayolala Elon Musk, tajiri huyo nae hakumkalia kimya na kumjibu kuwa hajakosea maana hata weekend iliyopita alilala kwenye kochi nyumbani kwa rafiki yake.

Mh! Ety ya kweli haya hicho ndo chumba anacholala tajiri huyo, dondosha komenti yako hapo chini ujuze mtazamo wako katika hili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags