Gigy Money na ujio wa ngoma yake ya dharau

Gigy Money na ujio wa ngoma yake ya dharau

Aloooooh! Niaje niaje wanangu sana, basi bwana leo katika kipengele chetu cha entertainment tumekusogezea mwanadada machachari sana Gigy Money ambapo week hii ameshusha nyimbo yake ya kufungia mwaka ambayo ameipa jina la ‘Dharau.’

Weeeeh! Asikwambie mtu humu ndani mwanadada huyu kafanya maajabu sana na ya kweli hili jimbo ni la kufungia mwaka, fanya kuitafuta halafu uje katika mitandao yetu ya kijamii na utueleze ni kipande gani cha nyimbo hii umekikubali zaidi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags