Galtier atimua vumbi Qatar

Galtier atimua vumbi Qatar

Aliyekuwa ‘kocha’ wa PSG msimu uliopita, Christopher Galtier ametangazwa kuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Al Duhail ya nchini Qatar akichukua mikoba ya Hernán Crespo.

Galtier, mwenye umri wa miaka 57 alishinda taji la Ligue 1 akiwa na PSG lakini alidumu kwa msimu mmoja tu katika ‘klabu’ hiyo.

.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi

Comments 0

Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles

Latest Post

Latest Tags