Fid Q: Mtoto wangu ndiyo sababu ya kuwa baba bora

Fid Q: Mtoto wangu ndiyo sababu ya kuwa baba bora

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini FID Q kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share picha akiwa na binti yake na kudai kuwa mtoto huyo anayeitwa Fidelia alimtoa kwenye hali ya kuwa bora baba hadi baba bora.

Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa mtoto huyo, FID Q hakuishia tu kusema amekuwa baba bora bali amedai kuwa kupitia mtoto huyo amemfanya kuwa  ‘Feminist’, yaani akimaanisha amekuwa mtetezi wa haki za wanawake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags