Ex wa Cr7 agoma kubaki single

Ex wa Cr7 agoma kubaki single

'Hapoi haboi' kauli hii unaweza kumwelezea aliyekuwa mpenzi wa  mchezaji wa klabu ya #AlNassr, #CristianoRonaldo, Irina Shayk baada ya kuachana na mpenzi wake wa sasa, Tom Brady huku tetesi zikisema hivi karibuni atazama tena penzini.

Inaelezwa kuwa mwanadada huyo anaye jihusisha na masuala ya mitindo anatajwa kuwa katika msako wa kumtafuta mchumba nchini Marekani na inadaiwa kuwa huenda akafungua ukurasa mpya wa mahusiano na mwigizaji maarufu wa Hollywood, Tom Cruise 

Irina Shayk na Ronaldo walidumu katika mahusiaano yao kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2010 walikuwa pamoja mpaka kufikia mwaka 2015 walipoachana na walibahatika kupata watoto watatu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags