Eric Omondi atua Uganda na vazi la gunia

Eric Omondi atua Uganda na vazi la gunia

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi, ameendelea kuwafurahisha watu kwa aina ya ubunifu wa  mavazi anayotumia kuingilia kwenye nchi mbalimbali, awamu hii Eric yupo Uganda na vazi la gunia, huku akitumia usafiri wa kiatu kikubwa chenye matairi ya gari.

 Nikukumbushe wiki chache zilizopita Eric alitua Tanzania akiwa na vazi la ajabu na viatu vikubwa vyenye rangi nyeupe, awamu hii mchekeshaji huyo ametua Uganda na suruali ya gunia na shati  lisilokuwa na vifungo.

Unalipa asilimia ngapi vazi la mkali huyo wa kuchekesha kutoka Kenya?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags