Emanueli na Johari kusafirishwa Dodoma

Emanueli na Johari kusafirishwa Dodoma

Habari zilizotufikia hivi punde Miili ya wanafunzi wawili wa familia moja waliopoteza maisha katika ajali ya basi la Shule ya Msingi King David; Johari Saimon na Emanueli Saimon inaagwa leo katika Kanisa la Angalikana, Dayosisi ya Newala tayari kwa kusafirishwa kwenda kwao mkoani dodoma kwa ajili ya  mazishi.

Ajali hiyo ilitokea jana Julai 26, 2022 asubuhi na kusababisha vifo vya watu 13, kati yao wanafunzi 11 wa shule hiyo ambapo chanzo cha ajali ni kufeli kwa breki kisha kutumbukia shimoni.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags