Drake kudaiwa trilion 9.2

Drake kudaiwa trilion 9.2

Hii imetokea huko nchini Marekani Mwanamke aliyeripotiwa kuvamia Nyumbani kwa Drake  (Toronto) Mapema mwaka huu, sasa anamshutumu Rapa huyo na kutaka Dola Billion 4 (TSH.TRILIONI 9.2) Japokuwa Drake hakumshtaki mwanamke huyo juu ya kuvamia kwake.

Mwanamke huyo yeye anadai kwamba champagnepapi ametumia jina lake kwenye nyimbo zake na mitandao ya kijamii, pia anasema Drake anamdhalilisha kwa kuanika anuani yake hadharani.

Jumba hilo la Drake lililovamiwa na Mwanamke huyo lina thamani ya ($100M) takribani TSh. Bilioni 231. Lakini Pia Mwaka 2017,ambapo

Mwanamke mmoja alifanikiwa kuingia kwenye nyumba ya Drake iliyopo Southern California ambapo aliingia na kufungua friji kisha kunywa Maji na Soda tu.

Aisee hii ishu imekaaje kwa upande wako mdau unaweza kuvulia haya?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags