DIAMOND: Watu hawana shukurani bora kufocus na mambo yangu

DIAMOND: Watu hawana shukurani bora kufocus na mambo yangu

Star wa muziki nchini 🇹🇿 anayeng'ara duniani, Diamond Platnumz amedondosha ujumbe kupitia mtandao wa Instagram ambapo amesema kuwa watu hawana shukurani.

Diamond aliandika hivi,  "Hivi saa ndio nimegundua kwanini watu kama kina Kidayo, davido na kadharika waliamua kufocus na nafsi zao na sio kupoteza nguvu,Umaarufu, pesa na Muda wao kusaidia wasanii chipukizi walowasign....hii industry haina shukran!..But usiumie hii ni nchi yetu na ni jukumu letu kuhakikisha kwamba tunaendelea kunyanyua vijana toka mtaani ili nao wajikomboe kimaisha."

Msanii huyo alitoa povu hilo baada ya kuandikiwa barua ya wazi na kaka ake Romy Jones ambaye alimtaka akazane kujiwekeza yeye mwenyewe kuliko kusaidia watu.

Tuambie, unalionaje hilo?






Comments 2


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags