Diamond: Nikipata pesa za kubet naenda kumpa Zuchu

Diamond: Nikipata pesa za kubet naenda kumpa Zuchu

Aloooooh! Siku hizi mapenzi ni mubashara kwa upande wa wasanii wameamua bwana hivi ni kweli? Au basi , bwana yule Msanii na staa mkubwa anaefahamika ndani na nje ya nchi Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa pesa anazozipata zote anaenda kumpa Zuchu.

Ameyaandika hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram akionesha jinsi alivyoshinda kupitia wasafibet na kueleza kuwa “jana kwa man nilichelewa kubet, nikaidandia kwa live nikachukua zangu pia elfu 50, staki tamaa wala presha naweka zangu team za uhakika tu napiga zangu 50 kila day kwa mwezi nitakuwa na 1.5M kisha naenda kumpa Zuchu” ameandika Diamond

Hahahahaha! Make hapa kwanza ncheke haya ntuambie wewe mwenzetu ukishatusua kwenye bet pesa yako unaenda kumpa mtoto wa mama mkwe au tukuache kidogo? Embu dondosha komenti yako hapo chini mwanangu sana.

 

 

 

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags