Baada ya mkali kutoka Tanzania Diamindplatnumz siku chache kuonekana akiwa Rwanda, sasa ni zamu ya Davido.
Siku ya kesho kunatarajiwa kuwa na Tamasha la @giantsofafrica, katika ukumbi wa BK Arena, msanii kutoka Nigeria @davido tayari amefika Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya maandalizi.

Leave a Reply