Diamond mbioni kufungua shirika la ndege

Diamond mbioni kufungua shirika la ndege

Mmmmmmmmh! Usisema maisha magumu sema maisha yangu magumu mwanangu sana, basi bwana Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kuweka wazi kuwa yupo katika harakati za kuanzisha shirika la usafiri wa anga ambalo litakwenda kwa jina la Wasafi Airline.

Diamondi ameyasema hayo kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari nchini Afrika kusini na kueleza kuwa
“Nilianza kujiwekeza katika muziki, nikaanzisha lebo, nikafungua vituo vya habari (TV na Radio), nikaanzisha Kampuni ya michezo ya kubashiri ambayo ni (Wasafi Bet) na sasa nipo mbioni kufungua shirika la ndege” amesema Diamond Platinumz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags