Davido mmliki mpya wa mtandao wa kijamii

Davido mmliki mpya wa mtandao wa kijamii

Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria, #Davido, ameingia katika teknolojia ya kutengeneza mtandao wa kijamii ‘Chatter’ambapo utajihusisha na mwaliko maalum kwa ubunifu wa maudhui, kushiriki katika mawasiliano na mijadala kwa njia ya sauti na Video.

Mtandao huo unatarajiwa kuzinduliwa mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu kukiwa na lengo la kutoa uzoefu tofauti na mitandao mengine na kuleta ushindani kwa mitandao mengine kama X Spaces.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags