David Beckham: Make-up artist wangu yuko vizuri

David Beckham: Make-up artist wangu yuko vizuri

Mchezaji wa zamani wa ‘Soka’ David Beckham kutoka nchini Marekani ambaye kwa sasa ni Rais wa ‘Klabu’ ya Inter Miami ameweka wazi kuwa make-up artist wake siku zote ni binti yake mwenye umri wa miaka 12.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanasoka huyo wa zamani ame-share video akiwa na binti yake Harper Seven akiwa anampaka make-up kwa ajili ya kwenda kuhudhuria Victoria Beckham's fashion show jijini Paris.
.
.
.
#MwananchiScoop.
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags