Darassa amtambulisha msanii wake mpya

Darassa amtambulisha msanii wake mpya

Msanii wa Hip hop Darassa amemtambulisha rasmi msanii wake wa kwanza kutoka katika label yake ya Cmg lookatusnow anayeitwa Sani boy.

Hata hivyo Sani boy ambaye tayari ameachia Ep yake yenye jumla ya ngoma sita ambayo tayari inapatikana kwenye digital platforms zote za kusikiliza muziki duniani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags