Cr7 kushiriki kombe la dunia uarabuni

Cr7 kushiriki kombe la dunia uarabuni

Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #AlNassrFC ya #SaudiArabia imefanya mazungumzo na nyota wa #Ureno, #CristianoRonaldo juu ya nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia ‘klabuni’ hapo mpaka mwaka 2027.

Mkataba huo mpya unatarajiwa kuanza Januari 2025 na kutamatika Januari 2027. Hivyo Ronaldo anaweza kupata nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia 2026 akiwa bado mchezaji wa ‘klabu’ hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags