CR7 aweka rekodi mpya ligi Saudia

CR7 aweka rekodi mpya ligi Saudia

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Nassr kutoka Saudi Arabia Cristiano Ronaldo ameendeleza ubabe katika ligi kuu nchini humo baada ya kuweka rekodi mpya katika ‘mechi’ ya hivi karibuni ya Al-Nassr dhidi ya Al-Ittihad.

Kupitia mechi hiyo Ronaldo aliweka rekodi ya kufikisha mabao 35 ndani ya msimu 2023/24 na kuipiku rekodi ya awali ya mabao 34 iliyowahi kuwekwa na Abderrazak Hamdallah msimu wa 2018/19.

Mafanikio haya yameendelea kumeweka pazuri Ronaldo katika maisha yake ya ‘soka’ licha ya kukaribia kufikia miaka 40 huku baadhi ya wanasoka wakidaiwa kuiga jitihada za nyota huyo ili kufikia ‘levo’ yake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags