Chris Brown na Drake washtakiwa

Chris Brown na Drake washtakiwa

Msanii kutoka nchini Marekani Chris Brown na Drake wameshtakiwa kwa kosa la kuiba wimbo wa No Guidance ambao umetimiza miaka miwili tangu uachiwe.

Nyaraka zilizoandikwa na TMZ Star mmoja wa R&B Mr Cooper na Producer Timothy Valentine wameibuka na kudai kuwa Chris Brown na Drake wameiba mistari, muundo pamoja na beat kutoka kwenye ngoma yao ya Ilove Your Dress waliyouachia miaka mitatu kabla ya wimbo wa No Guidance.

Unaambiwa wawili hao wapo matatani kwa sasa kutokana na madai hayo lakini bado hajajulikana nini kinafuatia baada ya shutuma hizo.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags